Habari sasa ni application inayokuwezesha kufurahia simu yako kwa kukupa habari muda kutoka vyombo mbali mbali Tanzania, kudownload na kucheza miziki, kupata marafiki wapya kwa kuchat na kujadiliana mambo mbali mbali. Jiunge na classmates wako. Soma habari za michezo, siasa, ajira n. K. Pia kwenye App utaweza. Jiunge na classmates wako wa muda mrefu.