Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi. Kenya imepakana na Ethiopia Somalia Tanzania Uganda na Ziwa Victoria kisha Sudan Kusini Mji mkuu ni Nairobi. Jomo Kenyatta.